Tuseme ya Moyo! - Let us speak of the heart




Nimeishi kwa uoga wa kugonga ardhi
Jinsi penzi liligeuka bado nimepigwa na butwaa
Ni ujinga sio!!! Kweli, kuna watu wa kupendeka ama ni ujinga tu?
Moyo wangu wateseka kwa lako kosa
Sitadanganya... ulini ulinichapa kiboko... uchungu mgumu kusahau
najiogopea kama wote ni kama wewe...
Nilikupenda hata zaidi yangu... sitosahau kamwe
Naomba tu Jalali... nami anipeuwezo wa kujipata tena...
Na kama machozi ndio ulitaka kuona
Nami ziwa nimekutengenezea nyumbani...
Nakuomba tu... wacha kunichokoza kwa kunitembelea
Nameza jiwe kila ninapo kuona... nakupenda bado nadhani
lakini kwako siwezi rudi walai....
Mungu awe nawe...
Na ikaja kuwa wanikosa... usinitafute nilipo...
nipate mwako moyoni tu, niliwacha vijisemu vyangu #Namatsi
kweli mambo ya moyo ni mengine...


Translation



I have lived in fear of crushing on the ground
The way loved turned... I still cannot believe
Sounds stupid!!! Are there really people who can be loved or love is stupid?
My heart lies in tears for your mistakes
I will not lie... You knocked me out... pain that I will never forget
I am afraid if everyone is like you
I loved you even more than I did me... but I will never forget
I pray that the good Lord will give me strength to find myself again
If it is tears you craved
My love I left you a sea at home
I kindly ask you... stop tormenting me by visiting me
It is like I swallow a rock each time I see you
I think I still am in love with you
Quite honestly I would never come back
May God be with you
And if you ever miss me... don't look for me
Find me in your heart... I left pieces of me behind #namatsi
True... no one will ever understand matters of the heart


© Namatsi Lukoye

Comments

Popular posts from this blog

Disrupt - Who am I

Love Is Not A Fight by Warren Barfield

Tick Tock Tick Tock