Kesho

Nimeona niwache kucheza na moto
Nitaangamia bure kwa joto
Kutazama mvunguni nikitamani chako
Nikujichosha bure tako...
Langu laja kesho

Elewa dunia ni duara
Aliye chini kesho hupanda
wajiona simba, waniona mwiba
Nguvu zangu wazipima, unasahau nadunga!
Kesho langu laja

© Namatsi Lukoye

Comments

Popular posts from this blog

Disrupt - Who am I

The Mind is a con man!

If I die today