The witch of Eye (edited)

There is a woman down this hill
Evil and beastly
Atapaa popote kukuweka majani
Uchawi ameulewa ni wake usanii

There is a woman down this hill
Everyone fears
Mapenzi alikwara yuko peke yake
Usifikiri rafiki… wivu ndio wake

There is a woman down this hill
Hana panga, macho ndio silaha
Watoto awatupa kaburini, wazazi hofu awajaza

There is a woman down this hill
Hamwogopi Allah!
Bibilia haimtishi, aibeba mwenyewe!

There is a woman down this hill
Karibu na makaburini
Atakutoa nduki, urafiki hatamani


© Namatsi Lukoye

Comments

Popular posts from this blog

Disrupt - Who am I

The Mind is a con man!

If I die today