Una nguvu jamani

Una nguvu jamani
Uwezo usiofahamika
Kunivuta kabisa
Kunishtua ajabu
Kunifanya wazimu

Unanguvu jamani
Wanibeba wanibembeleza
Na hata waniandalia meza!
Wa uta majivuno nani angeweza?

Unanguvu jamani
Nimeona nizielezee
Natamani niwewako milele
Niwe mfungwa wa mapenzi wako wee
Nizihisi nguvu hizo
Nguvu za ajabu
Unanguvu jamani

Comments

Popular posts from this blog

Disrupt - Who am I

The Mind is a con man!

If I die today