I am this pathetic
Give me a cup of peace
and maybe then,
I will feel better
give me a plate of sanity
am sure that then,
things will go well
because right now
am in a jungle of diseases
distresses and infections
from the head to the toe
I am rotting
I am stinking
it is disheartening because
ahead lies no hope
kelele imezizidi
ubaya umeenea
ninaoza
nimeoza
kwa kasi
walisema 'mwenda pole hajikwai'
lakini sasa
tunajua 'mwenda pole aliaga'
nikusukuma
nikumfinya
nikumwangamiza
nikumnyang'anya
nikumtukana
La ni kutatufa
nikupata
ni maumbile ya kisasa
sasa nipe tiba kwa sindano
niwe mlemavu wa madawa
kama Shitanda na changaa
kama Ali Juma na podapoda yake
kama Kamau na sigara
kama yule na yule
wote twafanana
sitaki mawaidwadha
daktari wa sasa haaminiki
vivae vyatu vyangu
labda,
ndivyo tu utakavyojua vinavyofinya
niponye kabisa
kionjo sitaki
huruma sitaki
Right now
am in a jungle of fear
hopelessness and poverty
depression and stress
I am rotting
I am stinking
it is disheartening because
all my kids are watching
and maybe then,
I will feel better
give me a plate of sanity
am sure that then,
things will go well
because right now
am in a jungle of diseases
distresses and infections
from the head to the toe
I am rotting
I am stinking
it is disheartening because
ahead lies no hope
kelele imezizidi
ubaya umeenea
ninaoza
nimeoza
kwa kasi
walisema 'mwenda pole hajikwai'
lakini sasa
tunajua 'mwenda pole aliaga'
nikusukuma
nikumfinya
nikumwangamiza
nikumnyang'anya
nikumtukana
La ni kutatufa
nikupata
ni maumbile ya kisasa
sasa nipe tiba kwa sindano
niwe mlemavu wa madawa
kama Shitanda na changaa
kama Ali Juma na podapoda yake
kama Kamau na sigara
kama yule na yule
wote twafanana
sitaki mawaidwadha
daktari wa sasa haaminiki
vivae vyatu vyangu
labda,
ndivyo tu utakavyojua vinavyofinya
niponye kabisa
kionjo sitaki
huruma sitaki
Right now
am in a jungle of fear
hopelessness and poverty
depression and stress
I am rotting
I am stinking
it is disheartening because
all my kids are watching
The power of the word
ReplyDeleteexhilirating
ReplyDelete