Tuseme ya Moyo! - Let us speak of the heart
Nimeishi kwa uoga wa kugonga ardhi Jinsi penzi liligeuka bado nimepigwa na butwaa Ni ujinga sio!!! Kweli, kuna watu wa kupendeka ama ni ujinga tu? Moyo wangu wateseka kwa lako kosa Sitadanganya... ulini ulinichapa kiboko... uchungu mgumu kusahau najiogopea kama wote ni kama wewe... Nilikupenda hata zaidi yangu... sitosahau kamwe Naomba tu Jalali... nami anipeuwezo wa kujipata tena... Na kama machozi ndio ulitaka kuona Nami ziwa nimekutengenezea nyumbani... Nakuomba tu... wacha kunichokoza kwa kunitembelea Nameza jiwe kila ninapo kuona... nakupenda bado nadhani lakini kwako siwezi rudi walai.... Mungu awe nawe... Na ikaja kuwa wanikosa... usinitafute nilipo... nipate mwako moyoni tu, niliwacha vijisemu vyangu #Namatsi kweli mambo ya moyo ni mengine... Translation I have lived in fear of crushing on the ground The way loved turned... I still cannot believe Sounds stupid!!! Are there really people who can be loved or love is stupid? My heart lies in tears for ...