Posts

Showing posts from November, 2009

I am this pathetic

Give me a cup of peace and maybe then, I will feel better give me a plate of sanity am sure that then, things will go well because right now am in a jungle of diseases distresses and infections from the head to the toe I am rotting I am stinking it is disheartening because ahead lies no hope kelele imezizidi ubaya umeenea ninaoza nimeoza kwa kasi walisema 'mwenda pole hajikwai' lakini sasa tunajua 'mwenda pole aliaga' nikusukuma nikumfinya nikumwangamiza nikumnyang'anya nikumtukana La ni kutatufa nikupata ni maumbile ya kisasa sasa nipe tiba kwa sindano niwe mlemavu wa madawa kama Shitanda na changaa kama Ali Juma na podapoda yake kama Kamau na sigara kama yule na yule wote twafanana sitaki mawaidwadha daktari wa sasa haaminiki vivae vyatu vyangu labda, ndivyo tu utakavyojua vinavyofinya niponye kabisa kionjo sitaki huruma sitaki Right now am in a jungle of fear hopelessness and poverty depression and stress I am rotting I am stinking it is disheartening because al